Kwa mujibu wa Dialy Mail katika kabila linaloishi pembezoni mwa
Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina
la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa
mwanaume mnene!
Miezi sita baada ya kuanza zoezi la kunywa damu ya ng'ombe na maziwa,mwanaume huyo ameonyesha muonekano wake.
Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi
yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!
THIS SOUNDS SO FUN HAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!